Latest News

Share Share Share Share kwa waislam ili nao wapate habar hii

SHARE






Share kwa waislam ili nao wapate habar hii 

Hzo picha niya MTU mmoja aliyekufa huko Malaysia ni jamaa aliyekuwa ana haja Na ibada ya swalaa kabisa Basi alipokufa ikabidii kuoshwa kukafiniwa lakini ulipofika wakati wakuswaliwa hapo ndipo kulionekana mfano wa nyoka akimdona dona huyo maiti katika USO wake .watu waliokuwa wanataka kumswalia ikawabidi waipasue sanda ya huyo maiti hapo ndipo wakamuona nyoka mkubwa ndani ya sanda .kilicho washtuwa nakuwashangaza sura ya huyo maiti ilikuwa imeshabadilika imekuwa nyeusi Na yakutisha kama tunavyo iona hiyo picha radiance juu .watu walijaribu kumtoa Ila nyoka alikataa kutoka naakazidi kujikunjaa kwenye shingo ya maiti huyo .ikabidi kumswalia maiti huyo Na hali nyoka amejizungusha katika shingo ya maiti huyo .walipomaliza walijaribu tena kumtoa alikataa kutoka.ikawalazimu maiti kuzikwa Na nyoka pomoja Na hali nyoka amemzunguka shingoni make. ujumbe kwa waislamu jamaa tunajuwa kabisa kuwa swala ni dakika tano tu Na ikizidi basi kumi lakini tunaipuzia tumeidharau hatuna haja Nayo huwa ni mfano mwenzetu amejeuzwa USO jee sisi tusio swali kama yeye tutageuzwa nini? tafadhali sambaza ujumbe huu kwa uwezo uwezao kwa sababu sisi ni ummah bora fish amrishana mema Na kukatazana mabaya .wabilahitawfiq



No comments:

Post a Comment

TORITORINEWS Templateism Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.
Published By Gooyaabi Templates